URAIA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO

From KLAMediaWiki

(Difference between revisions)
Jump to: navigation, search
m (Text replace - "discriminationss" to "discriminations")
 
(7 intermediate revisions not shown)
Line 1: Line 1:
 +
[[Category:Dignity, human being diversity, discriminations]]
 +
[[Category:Nairobi WSF 2007]]
 +
 +
== URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO==
== URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO==
-
'''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU
+
'''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU'''
'''WAKATI:''' 8.30 HADI 11.00 JIONI
'''WAKATI:''' 8.30 HADI 11.00 JIONI
-
'''ORGANIZER:''' DAHIBA SISTERS FOUNDATION
+
'''ORGANIZER:''' ''SAHIBA SISTERS FOUNDATION-Tanzania''
-
 
+
'''WALIOHUDHURIA:''' 39
'''WALIOHUDHURIA:''' 39
WANAUME 10
WANAUME 10
Line 15: Line 18:
'''YALIYOTOKEA'''
'''YALIYOTOKEA'''
-
Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo.
+
Watanzania wengi nchini na Dunia kwa ujumla hawafahamu vema nini maana ya uraia kwa kuwa mipaka yake haieleweki vema. Hii hutoa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi, hasa akina mama kama uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia ni muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambapo wengi huamini kuishia hapo.
-
kea mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hagambuliki kisheria kama matanzania, ili hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania,
+
 
-
Je, haki ya mwanamke uko wapi?
+
Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania.
 +
 +
Je, haki na nafasi ya mwanamke iko wapi?
'''YALIOPENDEKEZWA'''
'''YALIOPENDEKEZWA'''
-
Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto kwa kuhudhuria mikutano inayowahusu.
+
Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto.
 +
 
 +
Pia kuna haja ya kuielimisha jamii kuhusu uraia.
 +
 
 +
Jamii pia ijishirikishe katika masuala mbalimbali yahusuyo uraia na mambo yafananayo.
 +
 
 +
''Alamsik''

Latest revision as of 19:04, 1 March 2011

URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

MWANAHABARI: MBWANA RAJABU

WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI

ORGANIZER: SAHIBA SISTERS FOUNDATION-Tanzania WALIOHUDHURIA: 39 WANAUME 10 WANAWAKE 29

MNENAJI: SALMA MAULID

YALIYOTOKEA

Watanzania wengi nchini na Dunia kwa ujumla hawafahamu vema nini maana ya uraia kwa kuwa mipaka yake haieleweki vema. Hii hutoa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi, hasa akina mama kama uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia ni muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambapo wengi huamini kuishia hapo.

Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania.

Je, haki na nafasi ya mwanamke iko wapi?

YALIOPENDEKEZWA

Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto.

Pia kuna haja ya kuielimisha jamii kuhusu uraia.

Jamii pia ijishirikishe katika masuala mbalimbali yahusuyo uraia na mambo yafananayo.

Alamsik

Personal tools
Namespaces
Variants
Actions
Navigation
Toolbox