URAIA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO
From KLAMediaWiki
Line 1: | Line 1: | ||
- | |||
== URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO== | == URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO== | ||
'''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU | '''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU | ||
- | + | '''WAKATI:''' 8.30 HADI 11.00 JIONI | |
- | + | '''ORGANIZER:''' DAHIBA SISTERS FOUNDATION | |
- | + | '''WALIOHUDHURIA:''' 39 | |
- | + | ||
- | + | ||
WANAUME 10 | WANAUME 10 | ||
WANAWAKE 29 | WANAWAKE 29 | ||
- | MNENAJI: | + | '''MNENAJI:''' SALMA MAULID |
- | ''' | + | |
- | YALIYOTOKEA''' | + | '''YALIYOTOKEA''' |
Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo. | Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo. |
Revision as of 13:45, 7 February 2007
URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
MWANAHABARI: MBWANA RAJABU
WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI
ORGANIZER: DAHIBA SISTERS FOUNDATION
WALIOHUDHURIA: 39 WANAUME 10 WANAWAKE 29
MNENAJI: SALMA MAULID
YALIYOTOKEA
Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo. kea mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hagambuliki kisheria kama matanzania, ili hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania, Je, haki ya mwanamke uko wapi?
YALIOPENDEKEZWA
Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto kwa kuhudhuria mikutano inayowahusu.