URAIA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO

From KLAMediaWiki

(Difference between revisions)
Jump to: navigation, search
Line 1: Line 1:
-
 
== URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO==
== URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO==
'''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU
'''MWANAHABARI: MBWANA RAJABU
-
CODI: 581
+
'''WAKATI:''' 8.30 HADI 11.00 JIONI
-
WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI
+
'''ORGANIZER:''' DAHIBA SISTERS FOUNDATION
-
ORGANIZER: DAHIBA SISTERS FOUNDATION
+
'''WALIOHUDHURIA:''' 39
-
 
+
-
WALIOHUDHULIA: 39
+
WANAUME 10
WANAUME 10
WANAWAKE 29
WANAWAKE 29
-
MNENAJI: SALMA MAULID'''
+
'''MNENAJI:''' SALMA MAULID
-
'''
+
 
-
YALIYOTOKEA'''
+
'''YALIYOTOKEA'''
Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo.
Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo.

Revision as of 13:45, 7 February 2007

URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

MWANAHABARI: MBWANA RAJABU

WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI

ORGANIZER: DAHIBA SISTERS FOUNDATION

WALIOHUDHURIA: 39 WANAUME 10 WANAWAKE 29

MNENAJI: SALMA MAULID

YALIYOTOKEA

Watanzania wengi hawafahamu vema non maana ya uraia kea kuwa mipaka yake haieleweki/ Hii hutaa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi. kana uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambayo wengi huamini kuishia hapo. kea mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hagambuliki kisheria kama matanzania, ili hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania, Je, haki ya mwanamke uko wapi?

YALIOPENDEKEZWA

Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto kwa kuhudhuria mikutano inayowahusu.

Personal tools
Namespaces
Variants
Actions
Navigation
Toolbox