URAIA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO
From KLAMediaWiki
(→URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO) |
(→URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO) |
||
Line 14: | Line 14: | ||
'''YALIYOTOKEA''' | '''YALIYOTOKEA''' | ||
- | Watanzania wengi nchini | + | Watanzania wengi nchini na Dunia kwa ujumla hawafahamu vema nini maana ya uraia kwa kuwa mipaka yake haieleweki vema. Hii hutoa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi, hasa akina mama kama uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambapo wengi huamini kuishia hapo. |
Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania. | Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania. |
Revision as of 16:18, 24 April 2007
URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
MWANAHABARI: MBWANA RAJABU
WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI
ORGANIZER: SAHIBA SISTERS FOUNDATION-Tanzania WALIOHUDHURIA: 39 WANAUME 10 WANAWAKE 29
MNENAJI: SALMA MAULID
YALIYOTOKEA
Watanzania wengi nchini na Dunia kwa ujumla hawafahamu vema nini maana ya uraia kwa kuwa mipaka yake haieleweki vema. Hii hutoa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi, hasa akina mama kama uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambapo wengi huamini kuishia hapo.
Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania.
Je, haki na nafasi ya mwanamke iko wapi?
YALIOPENDEKEZWA
Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto.