URAIA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO

From KLAMediaWiki

Revision as of 13:39, 10 February 2007 by Azizi (Talk | contribs)
Jump to: navigation, search

URAIA KUHUISHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

MWANAHABARI: MBWANA RAJABU

WAKATI: 8.30 HADI 11.00 JIONI

ORGANIZER: SAHIBA SISTERS FOUNDATION-Tanzania WALIOHUDHURIA: 39 WANAUME 10 WANAWAKE 29

MNENAJI: SALMA MAULID

YALIYOTOKEA

Watanzania wengi nchini Tanzania na Duniani kwa ujumla hawafahamu vema nini maana ya uraia kwa kuwa mipaka yake haieleweki vema. Hii hutoa fursa ya kitotambua haki zao za kimsingi, hasa akina mama kama uzawa, uongozi, na mahitaji mengine. Masuala ya uraia in muhimu na yana sura mbalimbali, ambayo ni zaidi ya uchaguzi ambapo wengi huamini kuishia hapo.

Kwa mfano,katika Tanzania, endapo mwanamke wa kitanzania akiolewa na mgeni toka nje ya nchi, mume huyo hatambuliki kisheria kama mtanzania, ili-hali mwanamume wa Tanzania akioa nje ya nchi, basi mke huyo hutambulika kisheria kama mtanzania.

Je, haki na nafasi ya mwanamke iko wapi?

YALIOPENDEKEZWA

Kuna haja ya akina baba kujua haki za msingi za akina mama na watoto.

Personal tools
Namespaces
Variants
Actions
Navigation
Toolbox