User:Azizi/BlogEntry: 2007 December 04 17:55:35 EAT

From KLAMediaWiki

< User:Azizi
Revision as of 09:47, 20 January 2008 by Azizi (Talk | contribs)
Jump to: navigation, search

Welcome to Azizi'blog


In this blog you will find interesting stories about Tanzania.

Killing Albinos in Tanzania

Some of the tribes along lake Victoria zones have started venturing into killing of Albinos.They do so because of whichcraft beleafs.They are told by whichdoctors that getting albino's borns will make them rich.

20th January 2008

Ufisadi Tanzania

Dr.Ballali aliyekuwa governor wa benki kuu ya Tanzania,kachota mali nyingi ya nchi yetu.Mpaka Kikwete anamtimua alibainika kuwa ameiba zaidi ya milioni 133 dola za kimarekani kutoka mfuko wa malipo ya madeni ya nje wa benki kuu ya Tanzania (EPA).Kabla ya rais kutangaza kumtimua bwana huyu alikuwa Marekani kwa matibabu.Ajabu ni kwamba mtu huyu ilibidi arudishwe kwanza nyumbani ili afunguliwe mashitaka ya tuhuma zake lakini katimuliwa akiwa huko huko bila umakini yakuwa atatoroka.Sasa ametoroka je hii si njama kweli?Watanzania mpunguze usingizi,maisha yanazidi kuwa mabaya kila siku kwasababu ya hawa mafisadi.

Mungu Waamshe watanzania,

Mungu wape utambuzi watanzania,

Mungu ibariki Tanzania,

Mungu ibariki Africa.

Personal tools
Namespaces
Variants
Actions
Navigation
Toolbox